Number One Lyrics - Rayvanny Ft. Zuchu

Number One Lyrics - Rayvanny Ft. Zuchu: Presenting the lyrics of the song "Number One" sung by Rayvanny featuring Zuchu.

Number One Lyrics - Rayvanny Ft. Zuchu

Macho Yali Kuona
Moyo Ukakuchagua
Mdomo Ukasema
Nakupenda... ah

Mwambie Umepona
Alo Kutesa Moyo
Kusumbua Maumivu
Yamekwnda

Hii Ni Zawadi, Niliopewa
Macho Nipepese Wapi
Me Kipofu Kwako Sioni

Penzi Limetalakadhi
Napepewa Harufu ya
Marashi Rashi Niki
Touch Touch Shingoni

Hi Uvae Baibui Kanga
Viatu Vya Kuchuchumia
(Kangaroo) Kisima Tuli
Tanga We Ubani Fukizia
Pambe Tuu
 Number One Lyrics - Rayvanny Ft. Zuchu

Rayvanny Ft. Zuchu - Number One Song Details

Song: Number One
Singer: Rayvanny 
Featuring: Zuchu Reactions

Post a comment

0 Comments

close